Sasa jumbe za "oldest" na "newest" (zinazoenekana kwa mfano) zimetafsiriwa kama Histfirst (“oldest”) na Histlast (“newest”). Je, ni sawa? Au ziwe "kuanzia zamani" na "kuanzia hivi karibuni" au kadhalika?
oldest
newest