Usability messages
Appearance
- Wikieditor-toolbar-tool-redirect-example ("
Target page name
") Maana ya ujumbe ni 'jina la ukurasa ambalo elekezo litafikisha. Labda 'jina la ukurasa la kikomo'?
- Sina kinyongo na matokeo ya maoni yako. Ndiyo maana tunaombana msaada kusawazisha jumbe! Badili ikiwezekana.
- Wikieditor-toolbar-tool-replace-regex ("
Treat search string as a regular expression
") Katika TUKI 'expression' katika hisabati ni 'uonyesho'; kwa hiyo kama ni kutunga, tutunge 'unoyesho wa kawaida'? Na kama tunatunga, basi, tuingize kwenye orodha mpya za maneno ya tarakilishi yanayotungwa, kule Wikipedia?
- Tena hapa nimetafsiri "word for word". Dhahiri kwako haijaleta maana. Pendekezo lako zuri!
- MediaWiki:Wikieditor-toolbar-tool-replace-invalidregex (page does not exist) vilevile
- MediaWiki:Optin-survey-question-whyoptout (page does not exist) Inabidi uchague sababu zako zote za kutoka, si zote tu. Badala ya 'Kwanini unaondoka Beta? (Tafadhali jaza vifungu hivyo vyote.)' tuseme 'Kwanini unaondoka Beta? (Tafadhali chagua sababu zako zote.)?
Jumbe zingine zinaeleweka vizuri.
- Kwa hii, uoni kama zinafautana tu?--Muddyb Blast Producer 13:23, 19 July 2010 (UTC)